HealthPhone™


Share


Connect

Follow HealthPhone on Twitter  Connect with HealthPhone on Facebook  Subscribe to HealthPhone on YouTube
Contact
©
HealthPhone™ is a project of
The Mother and Child Health and Education Trust
a U.S. 501(c)(3) non profit organization.

HealthPhone™

Video vya Utunzaji wa watoto wachanga: Matatizo ya Kupumua
Matatizo ya Kupumua


Home > Channels > Global Health Media Project > Video vya Utunzaji wa watoto wachanga

Watch More Videos — Safe Motherhood and Newborn Health LibraryWatch More Videos — Safe Motherhood and Newborn Health Library
HealthPhone: Matatizo ya KupumuaKiswahili — SwahiliKiswahili — Swahili

Filamu hii inaonyesha jinsi ya kumpima mtoto mwenye tatizo la kupumua. Inaonyesha jinsi anavyopumua kwa haraka, kifua kadri anavyopumua, na pua inavyotanuka. Inaonyesha jinsi ya kuwapa watoto oksijeni kama ikihitajika na inatoa ushauri wa kuwapeleka hospitali kwa ajili ya maangalizi zaidi.

Maoni yako ni muhimu kwetu! Kama una maoni yoyote au hadithi kuhusu jinsi ulivyotumia video tungependa kusikia kutoka kwako. Maoni kama haya yatatupa mwongozo mzuri kadri tunavyozidi kutengeneza filamu.

Mnakaribishwa kupakua video kwa ajili ya matumizi ya nje ya mtandao wa intaneti. Tukiwa na maelezo yako tutaweza kukujulisha na kukupatia habari na video mpya.

The intended audience is frontline health workers in the developing world.

(CC) 2012 This video is made available under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 Unported License.
Global Health Media Project

Produced by: Global Health Media Project
Watch Videos

Video vya Utunzaji wa watoto wachangaWatch More Videos — Safe Motherhood and Newborn Health Library
17 December, 2014

Translatetop of page