HealthPhone™


Share


Connect

Follow HealthPhone on Twitter  Connect with HealthPhone on Facebook  Subscribe to HealthPhone on YouTube
Contact
©
HealthPhone™ is a project of
The Mother and Child Health and Education Trust
a U.S. 501(c)(3) non profit organization.

HealthPhone™

Video vya Utunzaji wa watoto wachanga: Rufaa kwa Mtoto Mgonjwa
Rufaa kwa Mtoto Mgonjwa


Home > Channels > Global Health Media Project > Video vya Utunzaji wa watoto wachanga

Watch More Videos — Safe Motherhood and Newborn Health Library


Watch More Videos — Safe Motherhood and Newborn Health Library
HealthPhone: Rufaa kwa Mtoto MgonjwaKiswahili — SwahiliKiswahili — Swahili

Filamu hii inaonyesha njia nzuri ya kutoa maelezo. Inaonyesha jinsi ya kushirikisha familia, kutayarisha safari, kumuandaa mtoto kwa ajili ya safari, na kuandika maelezo yake. Pia inaelezea mpango utakaohitajika kama haitawezekana kutoa maelezo.

Maoni yako ni muhimu kwetu! Kama una maoni yoyote au hadithi kuhusu jinsi ulivyotumia video tungependa kusikia kutoka kwako. Maoni kama haya yatatupa mwongozo mzuri kadri tunavyozidi kutengeneza filamu.

Mnakaribishwa kupakua video kwa ajili ya matumizi ya nje ya mtandao wa intaneti. Tukiwa na maelezo yako tutaweza kukujulisha na kukupatia habari na video mpya.

The intended audience is frontline health workers in the developing world.

(CC) 2012 This video is made available under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 Unported License.
Global Health Media Project

Produced by: Global Health Media Project


HealthPhone: Rufaa kwa Mtoto Mgonjwa

Kiwango cha kati
45-115 mb each
download this video
Kiwango kidogo
30-75 mb each
download this video


Watch Videos

Video vya Utunzaji wa watoto wachangaWatch More Videos — Safe Motherhood and Newborn Health Library
21 July, 2014

Translatetop of page